@AllyAyubu7:
RT @ccm_tanzania: "WanaCCM Nchi nzima tunamuomba M/Mungu aiweke peponi roho ya marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi - Salamu za rambirambi za C…
- 8 years ago
@AllyAyubu7:
RT @ccm_tanzania: Rais wa SMZ Mhe Dkt Ali Mohamed Shein atangaza siku saba za maombolezo ya kifo cha Mzee Aboud Jumbe Mwinyi na bendera kup…
- 8 years ago
@jerekojr:
natamani sana kusikia historia ya Aboud Jumbe kutoka kwa waTanzania Visiwani.
nimejikuta nakumbuka shuka asubuhi. kujua historia za TZ.
- 8 years ago
@waweru:
@Semkae do you have any links to objective articles on the late Aboud Jumbe? @MariaSTsehai
- 8 years ago
@spkafefa:
"Serikali 3: ya Zanzibar, ya Tanganyika na ya Shirikisho - Sheikh Aboud Jumbe."
"Moja na moja haiwezekani kuwa tatu - Mwl. Nyerere"
- 8 years ago
@VitusMetiod:
RT @jmkikwete: Nimestushwa na kusikitishwa sana na taarifa za kifo cha Marehemu Mhe Aboud Jumbe Mwinyi. Naungana na Watanzania wote kuombol…
- 8 years ago
@VitusMetiod:
RT @jmkikwete: Historia ya Zanzibar,CCM na ile ya Muungano wetu haziwezi kukamilika bila kumtaja Marehemu Aboud Jumbe Mwinyi. Apumzike Maha…
- 8 years ago
@Gwiji15:
@TPHbookshop. Mna kitabu cha "Partnership " alichoandika Hayati Aboud Jumbe?
- 8 years ago
@GodfreyChriss7:
RT @ccm_tanzania: Mhe Dkt @MagufuliJP atoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mzee Aboud Jumbe, Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar http…
- 8 years ago
@mwakifwa:
RT @edwardlowassatz: Taifa limepoteza kiongozi hodari aliejitoa kupigania uhuru na maendeleo kwa Tz.
Tutamkumbuka mzee wetu Aboud Jumbe,Ala…
- 8 years ago
@cw_pedro:
@DeoMunishi Matendo yapi? Yale ya kwenye mazishi ya Mzee wetu Aboud Jumbe?
- 8 years ago
@Fakihfffa2:
Alichokianza aboud jumbe tutakiendeleza.serikali tatu. Mpaka kieleweke inshaAllah
- 8 years ago
@SamataJr_12:
RT @edwardlowassatz: Taifa limepoteza kiongozi hodari aliejitoa kupigania uhuru na maendeleo kwa Tz.
Tutamkumbuka mzee wetu Aboud Jumbe,Ala…
- 8 years ago
@MzeKifimboCheza:
RT @StahmyJunior: Watanzania tusisahau kwamba tuna msiba mzito wa mzee wetu Aboud Jumbe. Mungu ailaze roho yake mahali pema.
- 8 years ago
@MzeKifimboCheza:
RT @ACTwazalendo: Chama cha @ACTwazalendo kimepokea kwa mshtuko taarifa za kifo cha ndg. Aboud Jumbe, tunawapa pole watanzania wote https:/…
- 8 years ago
@Hakingowi:
2/2:wakisoma dua ya Khitma ya kumuonbea Dua Marehemu Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Aboud Jumbe aliyezikwa juzi nyumbani kwake Migombani
- 8 years ago
@Hakingowi:
2/2: ya Pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi katika msikiti wa Mwushawal Mwembe Shauri Mjini Unguja
- 8 years ago
@Hakingowi:
2/2: Dua Marehemu Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi katika msikiti wa Mwushawal Mwembe Shauri Mjini Unguja
- 8 years ago
@FMilinga:
RT @edwardlowassatz: Taifa limepoteza kiongozi hodari aliejitoa kupigania uhuru na maendeleo kwa Tz.
Tutamkumbuka mzee wetu Aboud Jumbe,Ala…
- 8 years ago